markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 850
Ipo accer ncheki if your seriousSifa za hiyo laptop ni
1. HDD kuanzia 500GB nakuendelea
2. Processor core i 5 gb 2.5 nakuendelea
3. RAM 4gb na kuendeleza
4. Display 15"
5 iwe na DVD ROM
6.iwe na uwezo wa kusapoti wifi na blootooth
7. Brand iwe Dell au Hp hasa Dell
Bajeti yangu 500,0000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda Lap top City
Jibu maswali niliyokuuliza kwenye sms niliyotumaPita Hapa Toshiba laptop slim core i7 1tb inauzwa - JamiiForums mkuu nikupe mzigo wa uhakika achana na kununua laptop kwa jina nunua kwa specs na benchmarks then linganisha na kiasi cha pesa uliyo nayo na kazi unayoenda kufanyia
Sent using TOSHIBA P50-C