Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Jan 24, 2012 #1 New Dell/Hp, at least 250Gb HDD, 2Gb RAM, Webcam, Arabic Keyboard preferred; Budget yangu haizidi 650. PM me.
New Dell/Hp, at least 250Gb HDD, 2Gb RAM, Webcam, Arabic Keyboard preferred; Budget yangu haizidi 650. PM me.
Benzoic JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 421 Reaction score 149 Jan 24, 2012 #2 Bajeti ndogo mzee...kama ya Wizara ya Elimu
doctorz JF-Expert Member Joined Aug 10, 2010 Posts 916 Reaction score 230 Jan 24, 2012 #3 Nenda K-PRINT. Ipo morgoro Rd. Opp Kanika Murung Farm Maschinery.
Eliphaz the Temanite JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 3,018 Reaction score 1,154 Jan 24, 2012 #4 Samsung Min Laptop, Solar Powered, miezi 3 old , charge 13 hrs RAM, 2 GHZ, 250 HDD bei laki 7
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Jan 24, 2012 Thread starter #5 Benzoic said: Bajeti ndogo mzee...kama ya Wizara ya Elimu Click to expand... Hhahahaaa, uchumi wenyewe mgumu bana; nikiwekeza zaidi ya hiyo kwenye laptop itabidi watoto niwahamishie saint kayumba!
Benzoic said: Bajeti ndogo mzee...kama ya Wizara ya Elimu Click to expand... Hhahahaaa, uchumi wenyewe mgumu bana; nikiwekeza zaidi ya hiyo kwenye laptop itabidi watoto niwahamishie saint kayumba!
mujusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 237 Reaction score 58 Jan 24, 2012 #6 Sio lazima ndugu yangu uchukue DEll kama Budget ndogo. Zipo aina nyingine nyingi jaribu hata Game Milimani city na garantii ya miezi 12 unapata kwa Budget yako hiyo. Amoeba said: Hhahahaaa, uchumi wenyewe mgumu bana; nikiwekeza zaidi ya hiyo kwenye laptop itabidi watoto niwahamishie saint kayumba! Click to expand...
Sio lazima ndugu yangu uchukue DEll kama Budget ndogo. Zipo aina nyingine nyingi jaribu hata Game Milimani city na garantii ya miezi 12 unapata kwa Budget yako hiyo. Amoeba said: Hhahahaaa, uchumi wenyewe mgumu bana; nikiwekeza zaidi ya hiyo kwenye laptop itabidi watoto niwahamishie saint kayumba! Click to expand...