Nahitaji laptop mini

Nahitaji laptop mini

BxAarfa

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
700
Reaction score
119
Wakuu nahitaji kununua laptop mini kwa ambae anajuwa wapi zinauzwa ama ambae anyo anauza naomba anitafute hapa 0778887388
 
wahi mlimani ukanunue hiyo ya laki 2 kama unataka ya matumizi ya kawaida
 
Wakuu nahitaji kununua laptop mini kwa ambae anajuwa wapi zinauzwa ama ambae anyo anauza naomba anitafute hapa 0778887388

sikushauri ununue hiyo laptop...bora ujichange ukanunu pc ya uhakika!!
 
Back
Top Bottom