SubiriAsus, hp, Toshiba, Lenovo, Sony au Apple yenyewe!
Asus, hp, Toshiba, Lenovo, Sony au Apple yenyewe!
mbna unamkatisha tamaa jamaa!Hebu tembelea maduka ya msimbazi unaweza kupata TOSHIBA kwa around laki 6-7, hizo nyingine siyo rahisi, Apple ndiyo usahau kabisaa (nadhani ulikuwa unatania).
mbna unamkatisha tamaa jamaa!
mbna unamkatisha tamaa jamaa!
Andaa 650,000 cash bila chenga nikuuzie dell yangu.
Specifications
i3, 2gb ram, 320hdd, black, screen size 14'' ,nimeitumia kwa miaka2 sasa.pia nna risiti yake ya manunuzi.
still in amazing condition.
Hiyo laki sita na nusu c bora angeenda dukani tu
miaka miwili bado unaiuza bei ya dukan!?Andaa 650,000 cash bila chenga nikuuzie dell yangu.
Specifications
i3, 2gb ram, 320hdd, black, screen size 14'' ,nimeitumia kwa miaka2 sasa.pia nna risiti yake ya manunuzi.
still in amazing condition.
miaka miwili bado unaiuza bei ya dukan!?