adsense master
Senior Member
- Mar 12, 2019
- 107
- 171
Habari nko mkoani nmejikusanya nataka kufungua duka la computer sasa nataka nije dar next week wap ntapata mzigo wa jumla kwa bei rahisi na kwa usalama
Vip lakini nyingi sana zinakuwa ni used mkuu..au ni mpya tu mkuu...???K/koo boss.
Mtaa wa lindi na livingstone.
Used mkuu na refurbished kidogoVip lakini nyingi sana zinakuwa ni used mkuu..au ni mpya tu mkuu...???
Weka mawasiliano basi wengine hatuna haja kuja huko, watatumia.K/koo boss.
Mtaa wa lindi na livingstone.