Nahitaji Land Rover 109

Nahitaji Land Rover 109

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
43,981
Reaction score
110,313
Salam wakuu,

Naomba nisiwachoshe, kama nilivyo tanguliza habari hapo juu.
Natafuta land rover 109, iwe pickup na iwe kwenye hali nzuri.

Tafadhali tuwasiliane PM

Asanteni
 
Offer yako ngapi? Vipi Defender 110 huna interest nayo?

Asante mkuu,
Kutokana na lengo na mahitaji nimependa 109.
Na kuhusu kiwango ni muuzaji aseme pia nipate maelezo kiasi ya kuhusu mu40
 
Wana jamvi.....
bado natafuta gari aina ya Land Rover 109
kwa mwenye nayo au taarifa kwa anaeiuza, naomba tuwasiliane
 
Wana jamvi.....
bado natafuta gari aina ya Land Rover 109
kwa mwenye nayo au taarifa kwa anaeiuza, naomba tuwasiliane
Mkuu wewe ni buyer au ? Ntaku pm # yangu maana kuna mahali ipo
 
mi nataka used bongo. hyo yyako ilkuwa sokoni au umeona noti ukaztamani tu?

Nimelala sasa mkuu...niko ndotoni naota Rais ajaye anaichukua nchi....Huu uzi ulikuwa wa One O' nine...110 nilitoa tu kama provision ila nimesha cancel dell...nitaipeleka kwenye kampeni!
 
Salama wadau.
Bado nahitaji Land Rover 109, kwa mwenye taarifa inapo patikana anisemeshe pm tafadhali.
Nawakilisha
 
Wadau.....
Bado natafuta land rover 109.
Kwa yeyote mwenye taqrifa, tafadhali tusemezane
 
upo mkoa gani na unabei gani?
Kitu kipo mahali pake.
 
upo mkoa gani na unabei gani?
Kitu kimetulia mkuu ni wewe tu.
 
Triple A, mkuu pole kwa kuchelewa jibu. Land Rover inatakiwa ifike geita au kahama.
Pia kwakua wewe ndie muuzaji naomba uniambie unaiuza pesa ngapi na kama vipi nikupe mawasiliano yangu ili unitumie picha niweze iona
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom