Habari zenu jamani!
Kiufupi nimetokea kupenda siasa,naomba mnishauri ni mambo gani natakiwa kuepuka, mambo ninayotakiwa kuyafanya, utaratibu wa kufuata ili hatimaye nije kuwa mwanasiasa mahili kwa ukombozi wa nchi yangu. Karibuni!
Pay attention to life after death always think before acting on whatever you are doing in one sense "how does this help me to get closer to my God" How does this program/policy or initiative help individuals to make on their own instead of depending on govt for survival, measure program success not by how many people you have covered but how many people have been helped to get out of poverty.
Kwanza ebu eleza unavofahamu kwako siasa Inamaanisha, coz tokea unazaliwa tayari ni mwanasiasa na kikubwa ni kuwa tu ni kujiamini na kuwa na ushawishi kwa umma katika kile unachoamini regardless unaweza kukifanya au uwezi..... In his Politics , Aristotle believed man was a "political
animal" because he is a social creature with the power
of speech and moral reasoning.....
Habari zenu jamani!
Kiufupi nimetokea kupenda siasa,naomba mnishauri ni mambo gani natakiwa kuepuka, mambo ninayotakiwa kuyafanya, utaratibu wa kufuata ili hatimaye nije kuwa mwanasiasa mahili kwa ukombozi wa nchi yangu. Karibuni!
Kasome chuo cha diplomasia kurasini utafundishwa jinsi ya kubeba mabango na kufanya vurugu kwenye midahalo halali ya wananchi na viongozi wa heshima.
Then baadaye utalipwa elfu 50 nakuhatarisha maisha yako.
Au
Nenda karibu naulipo tafuta tawi/msingi wa chadema jiandikishe hapo chukua kadi ya chama, hudhuria mikutano mbalimbali, jifunze kutamka maneno then soma sera, kanuni na taratibu za chama kisha soma katiba ya URT na mwisho changia kipesa, fikira na mawazo.
Baada ya kuelewa juu zaidi ingia mtaani toa elimu kwa wenzako kisha omba uongozi wowote na sio utawala kama maCCM yalivyo, kwa ngazi yoyote ya chama to uanasiasa bora sio bora mwanasiasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.