Nahitaji kutuma mzigo mkoani

Flamegood

Senior Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
129
Reaction score
293
Habari wana JF,

Mimi kuna ndugu yangu wa mkoani ameniomba nimnunulie bidhaa fulani huku Dar kwa kuwa huku inapatikana kwa bei rahisi kiasi 60,000. Sasa nilikuwa nahitaji mniambie ni bus gani nikituma huu mzigo utafika salama na kwa uhakika zaidi na kwa bei rafiki maana nilishatumaga mzigo ukapotea.

Natuma kutoka Dar kwenda Arusha
 
Kama mdogo tumia basi, elf 20 hadi 30 kama unakaa nje ya bahasha. Kama ni friji na vitu kama hivyo, nenda jangwani au kidogo chekundu.
 
Nenda Ofisi za Kilimanjaro au Dar Express, au Marangu au Kidia One au BM.

Wote hawa ni uhakika na wanapatikana Shekilango..
 
Nenda EMS pale posta huweza kupoteza tena mzigo rafiki
 
bwashe unatuma nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…