Itategemea tu na juhudi zako binafsi,hw much you are willing kujituma kwa ajili hiyo.Cost itategemea na wewe utafanya nn na kwa kiasi gani,na kiasi gani utamlipa mtu akufanyie..kama una misuli ya kujifunza unaweza jifunza mwenyewe kupitia tutorial online mpk ukatengeneza mpk kuidistribute