Smartbrain Senior Member Joined Mar 23, 2013 Posts 184 Reaction score 35 Jun 21, 2016 #1 Nahitaji kutengenezewa plastic packing bags zaidi ya 500 , Naomba kama kuna mtu au kampuni inaweza kufanya hii kazi kwa bei nzuri tupeane mawasiliano au nicheki whatsapp 0759696989, Nimeambatanisha sample ya mifuko ninayo hitaji. Attachments IMG-20160620-WA0004.jpg 23.1 KB · Views: 51 IMG-20160620-WA0002.jpg 27.3 KB · Views: 40 IMG-20160620-WA0003.jpg 24.6 KB · Views: 47
Nahitaji kutengenezewa plastic packing bags zaidi ya 500 , Naomba kama kuna mtu au kampuni inaweza kufanya hii kazi kwa bei nzuri tupeane mawasiliano au nicheki whatsapp 0759696989, Nimeambatanisha sample ya mifuko ninayo hitaji.
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,590 Reaction score 14,176 Jun 22, 2016 #2 Si kuanzia mwakani uzalishwaji wake utapigwa ban
Smartbrain Senior Member Joined Mar 23, 2013 Posts 184 Reaction score 35 Jun 22, 2016 Thread starter #3 Hito plastic inaweza kuoza sio kama zile zingine ... So ni safe one