UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 1,119
- 3,733
Na akifika huko adeal na wahindi ndo mara nyingi wana njaa ya kufa.Ungeenda kule Fiverr wapo wataalamu wengi tu
Ata wapakistan naona wapo moto na bei zao zipo cheap wanaija nao wapo wao wengi wanataka kulipwa pesa nje ya mtandaoNa akifika huko adeal na wahindi ndo mara nyingi wana njaa ya kufa.
Mkuu nimekutumia Message, nipe hii kaziMimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake.
Nikawaza option ya kwenda Chuo Kikuu chochote nitafute madogo watukutu wanitengenezee niwalipe tumalizane lakini nikawaza je nikimalizana nao wakaingiwa na tamaa na kubaki na copy/idea ya hiyo kazi yangu akaiuza au akaingiza sokoni bila utaratibu itakuwaje?
Option ya pili ni kwenda Kwa haya makampuni ya IT lakini nako Sina Abcs namna ya kudeal nao ili wazo langu liwe salama .
Na je Kuna taratibu gani za kisheria zinazotakiwa kufuatwa kabla ya kuingiza App sokoni?
Najua kuna manguli humu wa hii tasnia naombeni ushauri namna nitakavyokamilisha kazi yangu.
Mkuu nipe hiyo kazi, napiga code mpaka lenovo inasema YES, nimeshaunguza RAM 4 mwaka huu, Usijal kuhusu usalama wa idea yako.Mimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake.
Nikawaza option ya kwenda Chuo Kikuu chochote nitafute madogo watukutu wanitengenezee niwalipe tumalizane lakini nikawaza je nikimalizana nao wakaingiwa na tamaa na kubaki na copy/idea ya hiyo kazi yangu akaiuza au akaingiza sokoni bila utaratibu itakuwaje?
Option ya pili ni kwenda Kwa haya makampuni ya IT lakini nako Sina Abcs namna ya kudeal nao ili wazo langu liwe salama .
Na je Kuna taratibu gani za kisheria zinazotakiwa kufuatwa kabla ya kuingiza App sokoni?
Najua kuna manguli humu wa hii tasnia naombeni ushauri namna nitakavyokamilisha kazi yangu.
Kuunguza RAM ni moja ya criteria za mtu wa IT bora ??Mkuu nipe hiyo kazi, napiga code mpaka lenovo inasema YES, nimeshaunguza RAM 4 mwaka huu, Usijal kuhusu usalama wa idea yako.
My CORE VALUES
✔Creativity
✔Honesty
✔Collaboration
✔Excellence
Ha ha haKuunguza RAM ni moja ya criteria za mtu wa IT bora ??
Tuko hapa mkuu njoo tuzungumzeeMimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake.