mosesfrank
Member
- Dec 20, 2016
- 40
- 12
Naitaji kutengeneza bahasha zile ambazo watyu uwa wanafungia vyakula wana wekea bidhaa kama simu mafuta n.k
Msaada wangu nikujua namna ya ukinjaji wazile bahasha na je.upatikanaji Wa malighafi zake upoje
Msaada wangu nikujua namna ya ukinjaji wazile bahasha na je.upatikanaji Wa malighafi zake upoje