ABDULLAH MSANGI Member Joined Feb 28, 2014 Posts 55 Reaction score 22 Mar 10, 2018 #1 kwa mwenye taarifa ni chuo gan kinatoa koz ya postgraduate in mathematics Uganda au Tanzania
jonas amos JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 3,648 Reaction score 4,452 Mar 10, 2018 #2 Bagamoyo kuna chuo cha wanahisabati tu na cha kimataifa kwamaana ya kwamba kuna wanafunzi ambao ni maths talented from sehem tofaut africa
Bagamoyo kuna chuo cha wanahisabati tu na cha kimataifa kwamaana ya kwamba kuna wanafunzi ambao ni maths talented from sehem tofaut africa
jonas amos JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 3,648 Reaction score 4,452 Mar 10, 2018 #3 Pale bhana majitu yaliyopo unakuta kaangalia tu swal tayar anabandika jibu huwa hawapotez wino
L lukubuzo Samsis JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 2,947 Reaction score 3,466 Mar 10, 2018 #4 jonas amos said: Bagamoyo kuna chuo cha wanahisabati tu na cha kimataifa kwamaana ya kwamba kuna wanafunzi ambao ni maths talented from sehem tofaut africa Click to expand... wambie yupo fundi wa hesabu afrika mashariki na kati na dunia wakuitwa dr wenzi anakunywa mataptap chidya..
jonas amos said: Bagamoyo kuna chuo cha wanahisabati tu na cha kimataifa kwamaana ya kwamba kuna wanafunzi ambao ni maths talented from sehem tofaut africa Click to expand... wambie yupo fundi wa hesabu afrika mashariki na kati na dunia wakuitwa dr wenzi anakunywa mataptap chidya..
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Mar 10, 2018 #5 Tumaini university, kishiriki cha Stefano Moshi ipo.
ABDULLAH MSANGI Member Joined Feb 28, 2014 Posts 55 Reaction score 22 Mar 12, 2018 Thread starter #6 Mamndenyi said: Tumaini university, kishiriki cha Stefano Moshi ipo. Click to expand... dah ahsante kumbe kipo mahome boy kabisa thx
Mamndenyi said: Tumaini university, kishiriki cha Stefano Moshi ipo. Click to expand... dah ahsante kumbe kipo mahome boy kabisa thx
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 7,941 Reaction score 9,692 Mar 12, 2018 #7 Natamani sani kukokotoa number sema elimu ilinishinda dah lakini sijuti maisha yanakwenda
The Tomorrow People JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,689 Reaction score 2,861 Mar 13, 2018 #8 Omba scholarships China, Master of Math zipo. Wahi kabla ya tarehe 31march tuma maombi TCU