whatsapp online
Member
- Jan 17, 2017
- 86
- 95
Kama mada ilivyo... Mimi nilisoma Diploma na niko kazini tayari. Nimeshakuwa na familia tayari. Nahitaji kujiendeleza kielimu ila kutokana na mambo ya familia nahitaji nisome wakati naendelea na kazi.
Naombeni ushauri namna ya kujiunga na chuo kikuu huria na changamoto zake kwa wanaofahamu
Naombeni ushauri namna ya kujiunga na chuo kikuu huria na changamoto zake kwa wanaofahamu