kuna njia mbili, ya kwanza ni kuingia website ya nacte..fuata utaratibu huko unajiunga online.
ya pili ni kuingia kwenye website ya chuo husika, huko utakuta fomu, jaza online au idownload kisha ijaze,weka viambatanisho vinavyohitajika kisha tuma kwa njia ya posta huko chuoni.
ili kuvijua vyuo vya serikali tembelea site ya nacte( vyuo vya afya).. fanya haraka maana usajili unaenda kufungwa.