Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

Hongera kwa maamuzi magumu, ila kwa idara ulipo jitahidi kuandika kama mwelimishaji ili kuakisi na kuitendea haki taaluma yako
 
Humu mtu anatafuta ndoa bado hayuko tayari kuingia kwenye ndoa, wengi wana maringo sana sijui shida nini. Maisha ni mipango tu mnachagua sana mwisho wa siku mnakosa vyote.
Tatizo ni umri unazuzua wadada wengi,dunia ya leo ni ngumu kukuta mwanamke below 25 akikubali kuolewa wengi wana masharti mengi sababu wana access kubwa ya wanaume baadae wakichuja ndio haya hutokea,wakiulizwa hoja yao wanawake ni wengi kuliko wanaume japo takwimu za sensa zinaonesha tunakaribiana sana interms of percentage,hata mimi kuna kidemu niko nacho kina 22 niko tayari kukioa hata sasa ivi ila drama zake sasa,mara nataka kwenda uk kwa mamdogo nikafanye kazi mwaka mmoja nikirudi ndio tufanye maisha,mara ooh nizae na miaka 22 mh bado
 
Mi sifa zote ninazo ila sitaki kufanya kazi
 
Tunafanana mku
Hi ni changamoto yao kubwa
 
 
Basi naomba nkuowe wewe
πŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
πŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…