Nahitaji kuolewa

Si imagine huyo mwanaume atakayekuja.. Maswali yake.. Kila Muda utanioa Lini ?.mbona wachelewa? .. Hivi ulisema Lini tunafunga Ndoa?..

Labda atakuja Mwanaume ambaye hataki background na kukusoma

Good lucky tho
Weka picha
 
Mkuu Econometrician hujanielewa!,maana yangu ni kwamba hapa tunajadili lakini hatujuani kwa sura wala tabia lakini ndiko kuna uchaguzi na maisha halisi,kwa haraka aliyonayo huyu unaweza hata kumlipia mahari kwa Mpesa au tigo pesa na akakubali bila hata kukufahamu kiundani,huyu mwanaume atkaye mpata hapa yeye ndio anataka awe mume moja kwa moja!ndio ndoa inapatikana hivyo kweli?

wanaume wa mtandao wanaishi mtaani ndio maana nikamwambia aanzie mtaani kabisa
 
Mtoto ana miaka mingapi? Baba wa mtoto yupo wapi? Nini chanzo cha kutengana nae? Elimu yako? Mtandao wa JF uliujulia wapi? Una jishughulisha na nini kwa sasa? Mbeya unakaa maeneo gani? Mbalizi,soko matola,mwanjelwa,mbozi,tunduma au tukuyu?
 
fanya kuni inbox nipo mbalizi huku mapelele
 
et wanasema asali tamu sana ila isiwe na watoto huwa sielewagi hili.
 

Sio kweli hata hapa jf kuna wanaume wazuri na wabaya.kwanza akimpata sio kutakuwa na kipindi cha mpito?akiridhika na tabia za mwanaume ndipo waoane.
 
20''''??! embu tulia wewe usije kuzaa watoto10 kila mtu na baba yake bure
 
Waambie Tayari Ushaniacha,ili Na Mwingine Ajitokeze Uishie Kumthaminisha Na Kumpiga Mizinga. Kichwa Kingine Hiki Mikakati Yako Hasi Kwangu Imefeli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…