Samahani! Kwa Hilo Hata Waislam Mwakaribishwa Dah! Ckujua Kama Nitawanyima Nafasi Kiasi Hicho. Naam Mapenzi Ni Majani Popote Huota Hayajali Rangi Dini Wala Kabila. Ni Fasiri Ya Nidhamu Na Mapendo Kwa Wale Wapendanao.
Nahitaji Mke Mwenye Umri Kuanzia Miaka 28 Hadi 33. Awe Mkristo, Elimu F6 Na Kuendelea. Awe Na Mwili Wa Wastani. Kama Una Nia Ya Dhati Ni Pm Tafadhari Tuongee Zaidi.