Morning friends!
Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwa wenye uelewa wa simu mbalimbali, nataka simu yenye uwezo wa kutumia application mbalimbali kama skype, fb, whatsup, JF n.k
Bei ya simu kati ya 200,000 - 250,000. Kabla nilikuwa natumia blackberry but natamani kubadilisha.
Thanks in advance.​
pesa yako ndogo sana kama ungeongeza kidogo ningekushauri ukanunue LUMIA 650 kwa laki nne na nusu!
pesa yako ndogo sana kama ungeongeza kidogo ningekushauri ukanunue LUMIA 650 kwa laki nne na nusu!
Ni 620 mkuu simu nzuri sana sema mitandao ya bongo noma wenzao wanapunguza bei wao ndo kwanza wanaongoza hadi nimechukia nilivoona hio bei
Hii simu naitumia nahisi ntaendelea kuirecomend kwa watu wa bb na wote waliotoka nokia za qwerty kuja android
Inaitwa samsung galaxy chat
Ina kioo 3 inch ambacho ni kikubwa kuliko sim za bb na nokia za kawaida na button za qwerty kama inavyoonekana
Simu hii haina camera ya mbele na flash ndio weakness yake.
Ina touchwiz kama samsung galaxy s3 so utapata appearence kama ya 3d kwenye home screen
Battery life sio nzur kama upo internet mda wote
Bei ni 180,000 hadi 250,000 kama unayo 250 nenda wakala wa samsung ili ununue simu na warranty
Kwa full specs google samsung galaxy b5330
Mkuu nimeiona iko poa, ila nimekagua camera yake ni 2 MP, naona ni kama ndogo sana, kati ya hii na Mini galaxy ipi unayoshauri?
Lumia 510 - 345000
Lumia 520 - 350000
Lumia 620 - 450000
nenda kwa wakala wa nokia MIDCOM.
chief-mkwawa asante kwa ushauri.. but hii sitaiweza as nina interest saaaana na pichaHii simu naitumia nahisi ntaendelea kuirecomend kwa watu wa bb na wote waliotoka nokia za qwerty kuja android
Inaitwa samsung galaxy chat
Ina kioo 3 inch ambacho ni kikubwa kuliko sim za bb na nokia za kawaida na button za qwerty kama inavyoonekana
Simu hii haina camera ya mbele na flash ndio weakness yake.
Ina touchwiz kama samsung galaxy s3 so utapata appearence kama ya 3d kwenye home screen
Battery life sio nzur kama upo internet mda wote
Bei ni 180,000 hadi 250,000 kama unayo 250 nenda wakala wa samsung ili ununue simu na warranty
Kwa full specs google samsung galaxy b5330
Jipange tu ukachukuwe hiyo itakusaidia kwa mambo mengi sana maana simu ni zaidi ya kupiga na kupoke.mkuu kumbe nikiongeza half of the amount ni kidogo .. uwiii.
asante kwa ushauri.