NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
Alidakwa kwa kosa la kuwa na Pingu, au alidakwa akafungwa nazo?Mcheki jerry Muro.... Aliwahi kudakwa nazo.
Ipo clear sana, Haina ambiguity kubwa. Alikamatwa akiwa anamiliki pingu kinyume na sheria. Kama walitumia pingu hizo kumfunga Sijui.
Mkuu kama unamiliki bostola kihalali mbona napingu unapewa .Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
IWakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
uzifanyie nini? kwani wewe ni askariWakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann haziunzwi mkuu, mbona bunduki, bastola zinauzwa?Hizo haziuzwi nenda Kwa fundi vyuma akuchongeshee yako
Don't mind me
Nina Matumizi nayo ya kawaida tu mkuu!Mkuu unataka kuanzisha kampeni ya kuteka watu nini?