J JOBANO Member Joined Oct 18, 2010 Posts 26 Reaction score 7 Feb 14, 2014 #1 Kama heading ilivyo. Nahitaji noah nina 7m.
D Duly zura JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 411 Reaction score 37 Feb 16, 2014 #2 baba toa million kumi nikupe noah imesmamia ukuchaaaa ya 2004 plate no B
Dumelang JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 3,274 Reaction score 5,936 Feb 16, 2014 #3 Tembelea cheki.com Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001
Tembelea cheki.com Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001
J JOBANO Member Joined Oct 18, 2010 Posts 26 Reaction score 7 Feb 16, 2014 Thread starter #4 Dumelang said: Tembelea cheki.com Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001 Click to expand... hapana ndugu yangu lengo ni noah. Thanks
Dumelang said: Tembelea cheki.com Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001 Click to expand... hapana ndugu yangu lengo ni noah. Thanks
J JOBANO Member Joined Oct 18, 2010 Posts 26 Reaction score 7 Feb 16, 2014 Thread starter #5 Duly zura said: baba toa million kumi nikupe noah imesmamia ukuchaaaa ya 2004 plate no B Click to expand... uwezo mdogo ndugu ndiyo maana nikatangaza kilichopo
Duly zura said: baba toa million kumi nikupe noah imesmamia ukuchaaaa ya 2004 plate no B Click to expand... uwezo mdogo ndugu ndiyo maana nikatangaza kilichopo
J JOBANO Member Joined Oct 18, 2010 Posts 26 Reaction score 7 Feb 16, 2014 Thread starter #6 Dumelang said: Tembelea cheki.com Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001 Click to expand... kaka mbona nimeangalia cheki.com ila sijapata ya uwezo wangu
Dumelang said: Tembelea cheki.com Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001 Click to expand... kaka mbona nimeangalia cheki.com ila sijapata ya uwezo wangu
J Juma salehe Member Joined Jan 13, 2014 Posts 40 Reaction score 16 Feb 16, 2014 #7 Huwez pata Noah kwa bei hiyo Na ckushauli ununue kwa m2, Tafuta 9M uagize kutoka SBT, 4.7M kununua, ushuru 4.3M, ya mwaka 2005 , nimemtolea m2 mwez jana
Huwez pata Noah kwa bei hiyo Na ckushauli ununue kwa m2, Tafuta 9M uagize kutoka SBT, 4.7M kununua, ushuru 4.3M, ya mwaka 2005 , nimemtolea m2 mwez jana