Nahitaji kununua Nguo za Mtumba

egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
810
379
Wanajamv habari,

Naskia ukitka kupata suruali(kadeti) kali naambiwa mtumbani zipo nguo kali sana na durable.

Sasa hebu nijuzeni wapi naweza pata kadeti za grade 1 zilizo kali zenye bei reasonable
 
Sema unapatkana mkoa gan na weka namba yako na size ya kiuno pamoja na age yako, wapo wafanya biashara wazur tu ukitaka watakuletea mpaka nyumban uchague mwenyew utakzo zipenda.
 
Nipo Dsm, mkuu
 
Wanajamv habari,

Naskia ukitka kupata suruali(kadeti) kali naambiwa mtumbani zipo nguo kali sana na durable.

Sasa hebu nijuzeni wapi naweza pata kadeti za grade 1 zilizo kali zenye bei reasonable

Daah..pitia pale Mwenge kuna mtaa flani kuna salon na wadada wengi wanasuka..kwa mbele mkono wa kushoto/kulia utaona frem..kuna mshikaji ananguo nzuri sana za mtumba..juzi nlikuwa pale nimechukua trousers na shirt za kutosha..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom