Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
Kweli huyu Munawar amenifanya nisiwe nachangia kwenye mada yeyote ya magari maana majibu yake huwa ni shupavu na kindakindaki saana.
Ila nina mpango wa kununua kagari hivi punde.
Nashauri tu Munawar jaribu kuwa friendly, kind, humble, informative, approachable and supportive na pia punguza jazba, serious buyer tuko wengi saana ila unatufanya tuamini kwamba haiwezekani kumiliki kagari hata kwa mil 5.5 kwa majibu yako na jazba.
Nitafurahi kama utanijibu kistaarabu ndugu.

Unaiuza sh ngapi mkuu, na je vipi allion jamani..mie nauza Carina SI ipo wima sana kwa safari ndefu
Milioni tisa ila ukitaka first user kwa Bongo sio chini ya mwekundu.Samahani kwa kudandia uzi wa mwenzangu, hivi toyota Allion nawezapata kwa sh ngapi hivi jamani?
Kujua kwingi na kwenyewe tabu, nishakupa Munawar tayari!! Lol
Ngoja aje kutukana hapa.utamuona tu Akili zake zilivyo.
Rene Jr. Ulichosema ni kweli kabisa! IST new model kuanzia mwaka 2008 hazikamatiki. Nliulizia bei ya kwenye yard nikaambiwa ni kuanzia 20m! Wengi tumezoea kununua yale unayoweka na uchakavu juu! Fact ni kuwa ushuru mkubwa unaotozwa na serikali umesababisha bei za magari kwenda juu.., sasa kwa mtu anayefanya biashara akiweka faida kidogo ndio hivyo wengi wetu tunaona twalanguliwa!!Kujua kwingi na kwenyewe tabu, nishakupa Munawar tayari!! Lol
Kauliza showroom yoyote IST ya kuanzia 2010 ulete majibu. Au tushazowea za miaka kumi kurudi nyuma?!!!
Rene Jr. Ulichosema ni kweli kabisa! IST new model kuanzia mwaka 2008 hazikamatiki. Nliulizia bei ya kwenye yard nikaambiwa ni kuanzia 20m! Wengi tumezoea kununua yale unayoweka na uchakavu juu! Fact ni kuwa ushuru mkubwa unaotozwa na serikali umesababisha bei za magari kwenda juu.., sasa kwa mtu anayefanya biashara akiweka faida kidogo ndio hivyo wengi wetu tunaona twalanguliwa!!
mbona una ngebe ww.Huyo seneta ni muuza kanda mbili, magari hawezi kujua
mbona una ngebe ww.