Mkulima na Mfugaji JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,056 Reaction score 1,868 Dec 26, 2022 #1 Habar wana jamvi, Nimefungua ki studio cha kurusha Movies, hivyo nilikua nahitaji kununua Desktop mpya ila sina uzoefu nazo Nahitaji mwenye kufahamu anipe ABC zake yaani niangalie nini na nini, sihitaji Used nahitaji mpya kabisa Dukani
Habar wana jamvi, Nimefungua ki studio cha kurusha Movies, hivyo nilikua nahitaji kununua Desktop mpya ila sina uzoefu nazo Nahitaji mwenye kufahamu anipe ABC zake yaani niangalie nini na nini, sihitaji Used nahitaji mpya kabisa Dukani
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,287 Reaction score 6,186 Dec 26, 2022 #2 Swala la kuzingatia hapo ni processor na generation kwani Ram na HDD unaweza ongeza muda wowote Mwl.RCT atakusaidia mengi ila unaweza muomba akakuagizia duka la kununua
Swala la kuzingatia hapo ni processor na generation kwani Ram na HDD unaweza ongeza muda wowote Mwl.RCT atakusaidia mengi ila unaweza muomba akakuagizia duka la kununua
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,449 Mar 15, 2023 #3 Mkulima na Mfugaji said: Habar wana jamvi, Nimefungua ki studio cha kurusha Movies, hivyo nilikua nahitaji kununua Desktop mpya ila sina uzoefu nazo Nahitaji mwenye kufahamu anipe ABC zake yaani niangalie nini na nini, sihitaji Used nahitaji mpya kabisa Dukani Click to expand... Ulipata?
Mkulima na Mfugaji said: Habar wana jamvi, Nimefungua ki studio cha kurusha Movies, hivyo nilikua nahitaji kununua Desktop mpya ila sina uzoefu nazo Nahitaji mwenye kufahamu anipe ABC zake yaani niangalie nini na nini, sihitaji Used nahitaji mpya kabisa Dukani Click to expand... Ulipata?