Nahitaji kununua coaster

MAMU35

Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
63
Reaction score
6
Wakuu ninahitaji kununua gari ya biashara haswa coaster. Ninaomba ushauri ni aina ipi ya coaster ni nzuri na pia kampuni nzuri ambayo nitaweza kuipata. Nasubiri ushauri wenu
 
Mamu nunua noah kila siku tunatengeneza 100,000/= kama tutafanya kazi pamoja ila kama unanipa basi hesabu 70,000/=nakuletea kwa siku piga hesabu ta wiki halafu ya mwezi ..... Pm kwa mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Mamu kama bado unahitaji coaster mpya nenda ofisi za toyota pale posta mpya tena unaletewa kwa oder jipya kabisa kwani wapo on time mkuu....
 
coaster una milion 50 upewe coastet mayai.....iko kamili kila idara kama uko serious ni pm
 
Wakuu ninahitaji kununua gari ya biashara haswa coaster. Ninaomba ushauri ni aina ipi ya coaster ni nzuri na pia kampuni nzuri ambayo nitaweza kuipata. Nasubiri ushauri wenu

many nicheki whatsapp kwa 0765032151
 
Mamu nunua noah
kila siku tunatengeneza 100,000/= kama tutafanya kazi pamoja ila kama
unanipa basi hesabu 70,000/=nakuletea kwa siku
piga hesabu ta wiki halafu ya mwezi ..... Pm
kwa mawasiliano
Then baada ya miezi 10 haitamaniki tena, unanirudishia na kuanza kutafuta ingine kwa mtu mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usiogope tunakabidhiana &nakuletea gari lako ulikague kila mwisho wa mwezi tena services ndogondogo mkuu nafanya mwenyewe na nasimamia hesabu MWENYEWE kama uko tayari tufanye biashara kwani gari lako litakuwa likaipumzika muda wa SAA 2USIKU
TUFANYE KAZI KAMA UKO TAYARI NAOMBA NIPM.....
 
Last edited by a moderator:
Mamu nunua noah kila siku tunatengeneza 100,000/= kama tutafanya kazi pamoja ila kama unanipa basi hesabu 70,000/=nakuletea kwa siku piga hesabu ta wiki halafu ya mwezi ..... Pm kwa mawasiliano

wewe upo mkoa gani? 2naweza fanya biashara
 
Mamu nunua noah kila siku tunatengeneza 100,000/= kama tutafanya kazi pamoja ila kama unanipa basi hesabu 70,000/=nakuletea kwa siku piga hesabu ta wiki halafu ya mwezi ..... Pm kwa mawasiliano

kama nikweli mkuu unaezafanya hvyo basi noha inalipa kihivyo, ipo cku nitakutafuta.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…