Mkuu mimi nahitaji msaada nawewe unaleta bango lako hapa.Natafuta mtaalamu wa visasi (Mganga wa kienyeji) hapa Dar.
Asiwe mbabaishaji.
Kuna mtu kanitapeli pesa zangu ndefu tuu.
Mwenye kumjua mtaalamu wa visasi anisaidie. Naweza kuja hata pm
.1 hapo kwenye sababu jaza una marafiki na ndugu wanaishi nje ya nchi mfano south Africa ( kaka dada, baba mkubwa, uncle.
vyeti vya wazazi nenda mahakamani yoyote ya mwanzo watakupatia affidavit za hao wazazi kuna form utajaza pia utailipia c ghali nathani 2000
passport size make sure zinakupresent wew no much editing ( macho, forehead, masikio, pua, kidevu vionekane clear) professional wakupiga picha wanaelewa ukiwaambia passportsize ni za passport yakusafiria
zile form za mashaidi hata marafiki wanakujazia tu muhuri wa mwanasheria wapo kibao wanatembea nayo ukiwapa hata 2000 au 1000 inatosha
rough interview kuwa na confidence tu
good lucky
Mkuu mimi nahitaji msaada nawewe unaleta bango lako hapa.
Pole sana kwa kutepeliwa chief waganga wa kienyeji naskia wapo malawi wanaoweza hizo kazi.
huyo jamaa aliekutapeli yupo wapi!
1 hapo kwenye sababu jaza una marafiki na ndugu wanaishi nje ya nchi mfano south Africa ( kaka dada, baba mkubwa, uncle.
vyeti vya wazazi nenda mahakamani yoyote ya mwanzo watakupatia affidavit za hao wazazi kuna form utajaza pia utailipia c ghali nathani 2000
passport size make sure zinakupresent wew no much editing ( macho, forehead, masikio, pua, kidevu vionekane clear) professional wakupiga picha wanaelewa ukiwaambia passportsize ni za passport yakusafiria
zile form za mashaidi hata marafiki wanakujazia tu muhuri wa mwanasheria wapo kibao wanatembea nayo ukiwapa hata 2000 au 1000 inatosha
rough interview kuwa na confidence tu
good lucky
Alikusudia 10,000 jiongezeDuh 1000? Kwa mwanasheria gani?