Nahitaji Kuku wa kienyeji

Nahitaji Kuku wa kienyeji

Naitaj kuku wa kienyeji mwenye kujua wap nawapata kwa bei nafuu aniambie

uko wapi?
unahitaji kuku wangapi?
wa jinsi gani?
na kwa matumizi yapi?
nijibu hayo tumalize biashara.
 
ok Nina weza kukuuzia kuku kuanzia 10000-15000 kulingana na size unayohitaji.
 
Kwa vifaranga kuku kienyeji 2400/=vijogoo wa nyama 1200/= 0657257509 na mayai ya kienyeji @500/= kwa mda wwte utakao karibuni sana tukuhudumie.
 
Back
Top Bottom