Unataka kulitumia kwa matumizi gani mkuu?karibuni
jamani mwenye suzuki carry anikodishe kwa mwezi nipo mbeya
Niko nayo moja namna DDQ sema offer yako na kazi yako, iko sokoni niuza. naiuza kwa 7.5m bei ya hasara kabisa maana nimeinunua kwa 8.5jamani mwenye suzuki carry anikodishe kwa mwezi nipo mbeya
sema mkuu tuzungumze
mkuu kazi yake itakuwa kubeba wafanyakazi kuwapeleka na kuwarudisha site,
jamani mwenye suzuki carry anikodishe kwa mwezi nipo mbeya
mkuu ni kubeba watu ambao ni wafanyakazi kuwapeleka site na kuwarudisha. itakuwa inabeba watu 10 mkuuJe itakuwa inabeba watu wangapi? Bado najiuliza kwa nini ukodi pick up kwa ajili ya kubeba watu. Mimi ninayo lakini nahitaji majibu ya maswali hayo kabla ya kuamua kukukodisha.
nataka kuitumia kwa kazi ya kubeba wafanyakazi kwenda/kutoka site
mkuu ni kubeba watu ambao ni wafanyakazi kuwapeleka site na kuwarudisha. itakuwa inabeba watu 10 mkuu
1.8M kama utanirudishia nzima, kama itakuwa damaged utaitengeneza kwa gharama zako.....tutatengeneza mkataba wenye terms za utunzaji wa gari.....kama upo poa niPM
mkuu kazi yake itakuwa kubeba wafanyakazi kuwapeleka na kuwarudisha site,