Nahitaji kujua

ramso mahiki

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
16
Reaction score
2
Asalaam aleykum

Bwana yesu asifiwe

Mtu kama unafanya application kupitia nacte kujiunga na degree nilazima uscan transcript au unaweka number yako ya usajil chuo na mtihan basi bila kuscan transcript maana kuna watu wanadai kua ni number tu bas
 

hapn nilaZima uscan na uapload hayo matokeo. kinachowekwa namb ni ya form four peke yake
 
Inategemea, maana siku hizi vyuo huwa vinawasilisha matokeo NACTE na wao wanayaweka kwenye database yao, na ndio maana unapoandika namba yako uliyosajiliwa nayo chuo ulichotoka wanakuruhusu kuendelea kuchagua vyuo unavyotaka kwenda. Labda miaka ya nyuma ndo ilikua lazima ku scan matokeo yako.
 
Cha diploma lazima uscan then save kwenye flash au memory card baada ya hapo anza applolication kuna sehemu utaambiwa uchague qualigication uliyokuwa nayo kama ni
1.FTC
2ORDINARY DIPLOMA
3PRE UNIVERSITY COURSE na kadharika.Ukishachagua watakwambia upload your transcript au hata certificate kama unayo.....nadhani umeshajua nini cha kufanya
 

Tatizo mm mpaka xahiv sipata transcript yang 'na matokeo Tayar yametoka lakin nimeshoamba transcript kutoka chuo wakaniambia mpaka ijumaa napo hamna kuchukuliana 'na mm nipo mbal na niliposoma
 
Tatizo mm mpaka xahiv sipata transcript yang 'na matokeo Tayar yametoka lakin nimeshoamba transcript kutoka chuo wakaniambia mpaka ijumaa napo hamna kuchukuliana 'na mm nipo mbal na niliposoma
Mkuu wasiliana na uongozi wa chuo uongee nao kama kuna mtu anaishi mkoa uliosoma unafahamiana nae akuchukulie inawezekana mbona mm nilisomea arusha pre university course kuna rafiki yangu yupo kule kanichukulia akakaniscania alafu akanitumia kwenye email yangu nikawai kuomba kipindi hicho kuomba mwisho tarehe 31july mi niliomba tarehe 30 chakachua kichwa mkuu ukizembea utalala nyumbani mwaka mmoja.
 

Asante xana Kwa ushaur wako kamanda umenipa ushaur mzur xana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…