Nahitaji kujua vyuo vinavyotoa Online course

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,169
Msaada wa chuo chochote nje ya nchi kinachotoa kozi za IT kupitia mtandao/online.
Muhimu:
1. Kinatambulika na TCU
2. Kitoe cheti
3. Gharama nafuu.
 
Njia rahisi ni kungia ktk web ya TCU nenda ktk kipengele cha baadhi ya vyuo vya nje vinavyotambulika utaona links za "TCu" za hizo nchi 😀😀😀 then u can esily see lists ya vyuo husika ktk hizo nchi
 
Msaada wa chuo chochote nje ya nchi kinachotoa kozi za IT kupitia mtandao/online.
Muhimu:
1. Kinatambulika na TCU
2. Kitoe cheti
3. Gharama nafuu.
Fanya Professional Certification kama unataka kubobea kwenye IT. Inapunguza Kiswahili-Mrefu.
 
Msaada wa chuo chochote nje ya nchi kinachotoa kozi za IT kupitia mtandao/online.
Muhimu:
1. Kinatambulika na TCU
2. Kitoe cheti
3. Gharama nafuu.
Njoo tusome distance Learning hapa OUT
 
Na hivi vifurushi bado unamzuka wa kusoma online mkuu?
 
Naomba kujua vyuo vinavyotoa hizo professional certificate

Mf. CISA, CCNA, CCNP, na nyingine lukuki.

Unataka kubobea kwenye eneo lipi la IT?
 
Networking CISCO ..
 
Ni vyuo vipi vinatoa hizo certificate ?
 
Aaanza mdogo mdogo...
Hivi course zingine ni bure kwenye kuanza, halafu baadae kwenye advance level itabidi ulipie...


 
Thanks kiongozi ... Je wanatoa vyeti ?
Nadhani unatakiwa ufanye mtihani wa certification kwa course uliosomea,


itabidi ulipe kwenye certied centre, jifunze online kwanza labda ,halafu, ukiiiva ndio ukafanye mtihani wa certification
Kuna Cisco certified center Tanzania pia 👇

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…