Mkuu nikuulize Kwanza Una ABC's za Adobe Creative Cloud au Graphics kwa ujumla? au ndio unategemea Chuo kikutoe tongotongo? kama unategemea Chuo basi Nikwambie Pole if the answer is Vice Versa then go on na Kusaka Chuo...
Graphics kibongo bongo Chuo wanafataga Cheti tu mkuu ukitegemea chuo kikusaidie utaambulia 0.005% ni bora ukapambana mwenyewe na Online studies kuna vitabu vingi sana vitakusaidia kwa kuanza do this ingia You tube kuna hawa watu
1. Satori (Mkali wa Adobe Illustator Ai)
2.Dansky (Mkali wa Adobe Illustator Ai)
3.Unmesh Dinda ( The Man is Deadly Bad in Adobe Photoshop) You tube channel yake inaitwa (Pixel imperfect)
Hata kama unataka kwenda Chuo Basi pambana sana kitaa