Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,551
- 6,518
Tuko poa sasa bwana ni kweli mzigo upo pale karume Kwa viatu na ilala Boma upande wa nguo sio lazima kuamka saa9 ni maana mizigo wanaanza kufungua saa12 kamili na ni rahisi Sana kitendo cha wewe kufika pale ilala Boma kabla ya huo muda kisha wataalamu wataanza kunadisha nguo moja baada ya nyingine ila Kwa upande wa viatu ambako me ndo nimekuwa nikihusika Napo ni kwamba unakuta vimemwagwa kulingana na bei wewe unachambua mwenyewe kulingana na uhitaji wa wateja wako ahsanteHabari za muda huu wakuu natumai mmeamka vyema sana.
Kwa wale wazoefu wa kuchukua mzigo Karume au Ilala je mabero ya viatu hasa raba na viatu vya shule pamoja na vya kike huwa vinafunguliwa wapi?
Na kuhusu mabero ya nguo pia huwa yanafunguliwa wapi kati ya sehemu hizo mbili?
Pia nasikia kwamba ili upate mzigo mzuri inabidi uwahi saa 9 usiku au 10 alfajili je ni kweli?
Na kama ni kweli je kwa muda huo usafiri unapatikana wapi?
Najua JF ni familia kubwa naamini nitapata msaada wa maswali niliyouliza na kama kuna mengine yenye umuhimu ambayo sijayaorodhesha hapo pia mnaweza kunifahamisha maana mimi ni mgeni kabisa kwenye hii industry.
Note! Mimi natokea Kijitonyama mpakani na Sinza. Natanguliza shukrani na karibuni kwa mchango wenu.
Safi sana mkuu Kwa kushare uzoefu wakoTuko poa sasa bwana ni kweli mzigo upo pale karume Kwa viatu na ilala Boma upande wa nguo sio lazima kuamka saa9 ni maana mizigo wanaanza kufungua saa12 kamili na ni rahisi Sana kitendo cha wewe kufika pale ilala Boma kabla ya huo muda kisha wataalamu wataanza kunadisha nguo moja baada ya nyingine ila Kwa upande wa viatu ambako me ndo nimekuwa nikihusika Napo ni kwamba unakuta vimemwagwa kulingana na bei wewe unachambua mwenyewe kulingana na uhitaji wa wateja wako ahsante
Ahsante mkuuila kwa upande wa viatu ujasema ni muda gani inabidi ufike ili kupata mzigo mzrTuko poa sasa bwana ni kweli mzigo upo pale karume Kwa viatu na ilala Boma upande wa nguo sio lazima kuamka saa9 ni maana mizigo wanaanza kufungua saa12 kamili na ni rahisi Sana kitendo cha wewe kufika pale ilala Boma kabla ya huo muda kisha wataalamu wataanza kunadisha nguo moja baada ya nyingine ila Kwa upande wa viatu ambako me ndo nimekuwa nikihusika Napo ni kwamba unakuta vimemwagwa kulingana na bei wewe unachambua mwenyewe kulingana na uhitaji wa wateja wako ahsante
Hongera Kwa information.Mwisho engage sana na wateja jishushe Waite majina yenye staha boss, dada etc....
Katika biashara yako nidhamu, heshima na kuepuka mahusiano viwe mbele
Kwenye biashara hasa hizi za nguo, unaweza pata wateja warembo sana na mkawa mnaengage sana status Ila jitahidi ufocus maana unaweza poteza mteja, rafiki zake, mtaji wako na heshima yako pia.
Ni ngumu ila mhusishe Mungu kwenye biashara yako ushinde tamaa hii ya kutamani wateja.
Asante pia mkuuHongera Kwa information.
Mkuu, umeupiga mwingi sn hapa kwny infos kuhusu hii biashara. Hongera sn, nina swali dogo tu hv kwa sisi wenye mitaji yetu ya kuunga unga kwa 200k angalau angalau naweza kuanza?Mwisho engage sana na wateja jishushe Waite majina yenye staha boss, dada etc....
Katika biashara yako nidhamu, heshima na kuepuka mahusiano viwe mbele
Kwenye biashara hasa hizi za nguo, unaweza pata wateja warembo sana na mkawa mnaengage sana status Ila jitahidi ufocus maana unaweza poteza mteja, rafiki zake, mtaji wako na heshima yako pia.
Ni ngumu ila mhusishe Mungu kwenye biashara yako ushinde tamaa hii ya kutamani wateja.
PNdio mkuu hata Mimi nilianza na laki 250..... japo sikufanya muda mrefu sana baada ya kupata ajiraMkuu, umeupiga mwingi sn hapa kwny infos kuhusu hii biashara. Hongera sn, nina swali dogo tu hv kwa sisi wenye mitaji yetu ya kuunga unga kwa 200k angalau angalau naweza kuanza?
So pick kwenyeMkuu, umeupiga mwingi sn hapa kwny infos kuhusu hii biashara. Hongera sn, nina swali dogo tu hv kwa sisi wenye mitaji yetu ya kuunga unga kwa 200k angalau angalau naweza kuanza?
Umeupiga mwingi mwananguSo pick kwenye
skin jeans,
Koti jeans
pensil skirt nzuri za darasani na ibadani kwa wanachuo chagua kmoja Uza.
mimi ningeshauri skin jeans Kwanza alafu unavyozidi kwenda unakuwa na bwanga za kutosha nazo zinauza sana naona....
Wewe jiuzie skin jeans, bwanga jeans, koti jeans tu jibrand kilamtu ajue Hilo ndo eneo lako la specialization utafika mbali
Mwisho angalia sana Size ya hizo nguo, mistake moja niliyofanya nilichukua baadhi ya skin jeans size za watoto wa secondary hadi zinatoka zilitoka kwa shida sana
Chagua size za wadada wa chuo, na wadada wa offcn hivo yani watoto wa secondary hawanaga hela.
Mtumba mkuu, sijui niufungulie tu thread. Manake nakujua vizur. Ni biashara ambay hutakiw kuingia kichwa kichwa. Unataka kuuza Nn mkuu matisheti /majinzi? Au Nn. Tuanze hapo kwanza
Moja Kati ya biashara yenye competition kubwa mnooo. Nliwahi kufika karume saa 10 na nus asubuhi nikakuta watu wanaondoka. Mpaka Leo sijajuaga wanafunguaga balo usiku wa saa ngapViatu vya mtumba vipi?