Hata ilala boma Kuna mtaa unafanya kazi ya kunadisha hiyo asubuhiWakuu nahitaji kuingia kwenye biashara ya mabegi ya mtumba kunawateja wanachukuwa mzigo Tandika mezani kwa bei ya elfu 4 hadi elfu 5.
Naomba kufahamu ni wapi eneo sahihi la kupata mabegi safi ya mtumba, kama pia karume naweza pata mzigo?