abdul mwashimetta
New Member
- Aug 25, 2013
- 4
- 0
Ndugu yangu anahitaji msaada kwa mwenye uelewa juu ya maswali ya interview kuhusu udereva serekalini.ameitwa kesho interview ya tanesco northern zone. Msaada jamani kwa mwenye uwelewa
Wewe hutaki? 😂😂😂 Unaona aibu gani ukisema wewe kwani mficha uchi hazai shauri lako.Ndugu yangu anahitaji msaada kwa mwenye uelewa juu ya maswali ya interview kuhusu udereva serekalini.ameitwa kesho interview ya tanesco northern zone. Msaada jamani kwa mwenye uwelewa