Nahitaji kujitolea kufanya kazi.

Nahitaji kujitolea kufanya kazi.

mwantui

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
1,639
Reaction score
846
Mimi ni graduate wa bacholar of banking and financial services so kwa yeyote atakaependa kufanya kazi na mimi iwe ni kampuni binafsi ,biashara yeyote nipo tayari.location ni popote pale .Nitashukuru sana wana great thinker kama kuna atakae nisaidia kwa hili kwani hatojutia kufanya kazi na mimi.kwa yeyote atakae penda kunitafuta anitafute kwa number 0756442163
 
Unaweza kubeba tofali?..nina kampuni ya kufyatua tofali. Kazi ni kubeba, kumwagilia,kushusha na kufyatua matofali. Kwasiku sh.3000 hadi sh.5000. Kama upo tayari ni pm
 
Unaweza kubeba tofali?..nina kampuni ya kufyatua tofali. Kazi ni kubeba, kumwagilia,kushusha na kufyatua matofali. Kwasiku sh.3000 hadi sh.5000. Kama upo tayari ni pm

Usilete utani kwenye huzuni. Kijana amesota miaka 7 shule ya msingi, miaka 4 O' level, miaka 2 High level, miaka 3 chuo jumla miaka 16 wewe unataka asitumie kabisa akili yake? Hiyo miaka sijahesabia Nursery maana si wote hupitia huko
 
Back
Top Bottom