nahitaji kujifunza microcontroler programming

nahitaji kujifunza microcontroler programming

kinota

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
41
Reaction score
3
wadau naomba mnisaidie kama kunamtu anaefaha how to program microcontrol au anafamu mahari naweza enda jifunza. nawasilisha wakuu.
 
Unataka kujifunza tailor-made Course(professional) au academic course ya microcontroller?
Aina gani ya microcontroller unataka kujifunza?
Una background ya programming language yeyote?
 
asante kwa kuonyesha moyo wa kunisaidia
nina idear na c language ya darasani nimekua nikisoma how to carry out project of embededy systm .hivyo sina ufaham mkubwa jins ya kuprogram na kudzn circuit.hivyo nahitaji kama unafaham naomba pia ushauri nianzir wap na niishir wap.nawasilisha mkuu
 
nenda st.joseph college of engineering and technology ndo suluhsho pekee maana pale kuna mhnd mmoja alikuwa anatufundsha c++ programming ni balaa yeye alikuwa haiingii na kitabu anatoa tu toka kichwani
 
sikuwahi kuipenda degree course yangu hadi nilipokuja kutana na hii course ya MicroControllers and MicroProcessors, hapa msaada utapata japo si kiivyo. Nnavyo vifaa vichache ila vinatosha kwa ajiri ya first few experiments. Nipo na jamaa ambao tumeamua fungua laboratory, itaanza online na materials yatakuwa free, I cant say how soon sababu kila mmoja wetu anamajukumu yake kikazi, ila haitochukua muda mrefu sana. Stay tuned for Super Engineers Laboratory.
CAM00645.jpg
 
asante kwa kuonyesha moyo wa kunisaidia
nina idear na c language ya darasani nimekua nikisoma how to carry out project of embededy systm .hivyo sina ufaham mkubwa jins ya kuprogram na kudzn circuit.hivyo nahitaji kama unafaham naomba pia ushauri nianzir wap na niishir wap.nawasilisha mkuu
 
sikuwahi kuipenda degree course yangu hadi nilipokuja kutana na hii course ya microcontrollers and microprocessors, hapa msaada utapata japo si kiivyo. Nnavyo vifaa vichache ila vinatosha kwa ajiri ya first few experiments. Nipo na jamaa ambao tumeamua fungua laboratory, itaanza online na materials yatakuwa free, i cant say how soon sababu kila mmoja wetu anamajukumu yake kikazi, ila haitochukua muda mrefu sana. Stay tuned for super engineers laboratory.
View attachment 130889

daaaah hata mie naipenda sanaaa hii course aiseeee pamoja sanaaaa kaka
 
asante kwa kuwapata watu kama nyie mnaependa electronics, mim cjasomea electronics ila ni talent yangu 2. Na kuna mtaalamu mmoja kutoka indonesia ndo uwa ananielekeza, na sasa nataka kutengeneza digital amplifier .sasa kama hata watanzania 2po ktk hii fani 2we 2naelekezana maana uwa naboreka kuona vitu vingi vya electronics vinatoka nje wakat vingine ni simple tu
 
asante kwa kuonyesha moyo wa kunisaidia
nina idear na c language ya darasani nimekua nikisoma how to carry out project of embededy systm .hivyo sina ufaham mkubwa jins ya kuprogram na kudzn circuit.hivyo nahitaji kama unafaham naomba pia ushauri nianzir wap na niishir wap.nawasilisha mkuu
Mkuu,kama una idea ya C programming language ya darasani,kwako ni rahisi zaidi ku-program microcontrollers. Nakushauri uanze kujifunza PIC Microcontorollers ambazo zinapatikana kirahisi,ujifunze hardware architecture zake.Unaweza ukajifunza wewe mwenyewe ukipata tutorials nzuri na ukachagua compiler kati ya Hi-tech PICC+MPLAB IDE au Microc for PIC, ambayo unaielewa vizuri. Kwa upande wa simulation,schematics na PCB design,unaweza kutumia Proteus ISS.

Kwa upande wa compiler ruka hadi Microc Pro for PIC, ambayo ina libraries nyingi zinazokuwezesha kuandika code bila kuumiza kichwa,unaweza kuchagua library ya kufanya kazi fulani na kuongezea codes kidogo kazi ikaenda,pia ni user-friendly.

Kwa upande wa vifaa, bofya hapa
 
asante kwa kuwapata watu kama nyie mnaependa electronics, mim cjasomea electronics ila ni talent yangu 2. Na kuna mtaalamu mmoja kutoka indonesia ndo uwa ananielekeza, na sasa nataka kutengeneza digital amplifier .sasa kama hata watanzania 2po ktk hii fani 2we 2naelekezana maana uwa naboreka kuona vitu vingi vya electronics vinatoka nje wakat vingine ni simple tu
Pamoja Mkuu
 
Back
Top Bottom