UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
Kama upo Dar nenda britishcouncilWakuu vipi, hamjambo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba msaada wa namna ya kujua kuongea ung'eng'e vizuri mbele ya watu. Nimesoma mpaka digrii ya kwanza lakini najiona fala tu, hasa linapokuja suala la kuwasilisha mada kwa lugha ya KIINGEREZA. Niombe kwa yeyote mwenye linki online anisaidie. Wana Jf hawajawahi kushindwa kitu. Baada ya Jf kuniokoa na umauti nimetokea kuiamini mnoo. Usishangae nina degree lkn bado sijaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
gharama za kukwepa kusoma english medium mbeleni huwa kubwa kupindukiaukipata connection niunganishe na mimi, kitu cha kuongea kwa dakika moja kwenye kiswahili kwenye kingereza natumia dk hata kumi, yu know zinakuwa nyingi.
I'll take that as a compliment SM.Mtafute Paula Paul na cute b au 4G LTE
Mimi ninge kusaidia tatizo changu naunga naunga sana, The The ..... huwa nyingi sana.
Hao juu nimewashuhudia waki kitwanga swafi kabisa
we unajua kila mtu anaishi kwa mboga saba, we mtoto wa masaki kaa kimya.gharama za kukwepa kusoma english medium mbeleni huwa kubwa kupindukia
vitoto vya chekechea vya english medium vinaongea kingereza cha uhakika humu watu wazima wanahaha!!! wazazi pelekeni watoto english medium