UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
Wakuu vipi, hamjambo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba msaada wa namna ya kujua kuongea ung'eng'e vizuri mbele ya watu.
Nimesoma mpaka digrii ya kwanza lakini najiona fala tu, hasa linapokuja suala la kuwasilisha mada kwa lugha ya Kiingereza.
Niombe kwa yeyote mwenye linki online anisaidie. Wana Jf hawajawahi kushindwa kitu. Baada ya Jf kuniokoa na umauti nimetokea kuiamini mnoo.
Usishangae nina degree lkn bado sijaamini
Sent using Jamii Forums mobile app