I ilmJ Member Joined Aug 16, 2016 Posts 37 Reaction score 6 Feb 17, 2020 #1 Habari wana JF, Nina diploma ya Elimu nahitaji kujiendeleza ila nina GPA ya 2.9, nini cha kufanya ndugu zangu ili nifanikiwe? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF, Nina diploma ya Elimu nahitaji kujiendeleza ila nina GPA ya 2.9, nini cha kufanya ndugu zangu ili nifanikiwe? Sent using Jamii Forums mobile app
Johnyy Member Joined Dec 21, 2018 Posts 97 Reaction score 51 Feb 17, 2020 #2 ilmJ said: Habari wana JF, nina diploma ya Elimu nahitaji kujiendeleza ila nina GPA ya 2.9, nini cha kufanya ndugu zangu ili nifanikiwe? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kafanye foundation course ya Open au rudia diploma
ilmJ said: Habari wana JF, nina diploma ya Elimu nahitaji kujiendeleza ila nina GPA ya 2.9, nini cha kufanya ndugu zangu ili nifanikiwe? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kafanye foundation course ya Open au rudia diploma
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,283 Reaction score 55,898 Feb 18, 2020 #3 Soma diploma ya kitu kingine ili ufaulu vizuri,uweze kuendelea