Nahitaji kuinstall TWRP kwenye Tecno yangu

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Ukweli ni kwamba Tecno japo ni simu ya wengi, ni simu ambayo bado haijaingia kwenye international standards kiasi ukitaka kufanya mabadiliko ya hapa na pale inakuwa ngumu kutiririka kama ilivyo kwa devices nyingine. Nahitaji kufanya rooting ya tecno camon cx yangu ila kona kona ni nyingi sana.

Naombeni clear procedures za kufanya rooting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda google ubrowsi utafute .zip file ya twrp ya simu unayotaka alafu kuna appu yaitwa mobile uncle ndio utakayotumia kuflashi .zip hiyo katika simu yako ndiposa upate twrp kikamilifu.
 
Nenda google ubrowsi utafute .zip file ya twrp ya simu unayotaka alafu kuna appu yaitwa mobile uncle ndio utakayotumia kuflashi .zip hiyo katika simu yako ndiposa upate twrp kikamilifu.
Nashukuru mkuu, nitajaribu kufuatilia
 
Hii procedure ya kutumia magisk niliifuata ila niliwama kwenye kupata model number ya tecno yangu kiasi haikuweza kusoma kwenye cmd. Ndio maana nikaingia kwenye twrp ila nako nikapata tabu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…