J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,346 Reaction score 97,088 Nov 5, 2016 #21 ustadhijuma said: Mkuu joanah nadhani chakula hatutaivisha Click to expand... Kwanini ustadhijuma?
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,118 Nov 6, 2016 Thread starter #22 joanah said: Kwanini ustadhijuma? Click to expand... Mkuu we ni mrembo sana hivyo kukuona ukiinama kuchukua sufuria then ukiinama kuchota maji mhhh in short kuvumilia hapo sitaweza
joanah said: Kwanini ustadhijuma? Click to expand... Mkuu we ni mrembo sana hivyo kukuona ukiinama kuchukua sufuria then ukiinama kuchota maji mhhh in short kuvumilia hapo sitaweza
J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,346 Reaction score 97,088 Nov 6, 2016 #23 ustadhijuma said: Mkuu we ni mrembo sana hivyo kukuona ukiinama kuchukua sufuria then ukiinama kuchota maji mhhh in short kuvumilia hapo sitaweza Click to expand... Itabidi uvumilie tu ustadhi kama unataka kula Ayo mengine tutafanya badae [emoji5]
ustadhijuma said: Mkuu we ni mrembo sana hivyo kukuona ukiinama kuchukua sufuria then ukiinama kuchota maji mhhh in short kuvumilia hapo sitaweza Click to expand... Itabidi uvumilie tu ustadhi kama unataka kula Ayo mengine tutafanya badae [emoji5]
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,118 Nov 7, 2016 Thread starter #24 joanah said: Itabidi uvumilie tu ustadhi kama unataka kula Ayo mengine tutafanya badae [emoji5] Click to expand... mhhh Mimi ni rijali sitaweza kwa kweli
joanah said: Itabidi uvumilie tu ustadhi kama unataka kula Ayo mengine tutafanya badae [emoji5] Click to expand... mhhh Mimi ni rijali sitaweza kwa kweli
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,673 Reaction score 167,735 Nov 11, 2016 #25 ustadhijuma said: nimekujibu kwa PM Mkuu!! Tafadhali soma PM yangu nimeandika location yangu Mkuu!! shukrani sana mkuu Click to expand... Ukipata nijulishe na mie, napenda sana mapishi, hata ikiwa sehemu ya kulipia sawa.... Nadhani wapemba ni wapishi wazuri Nifah idara hii haupo?
ustadhijuma said: nimekujibu kwa PM Mkuu!! Tafadhali soma PM yangu nimeandika location yangu Mkuu!! shukrani sana mkuu Click to expand... Ukipata nijulishe na mie, napenda sana mapishi, hata ikiwa sehemu ya kulipia sawa.... Nadhani wapemba ni wapishi wazuri Nifah idara hii haupo?
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,118 Nov 11, 2016 Thread starter #26 Evelyn Salt said: Ukipata nijulishe na mie, napenda sana mapishi, hata ikiwa sehemu ya kulipia sawa.... Nadhani wapemba ni wapishi wazuri Nifah idara hii haupo? Click to expand... usijari mkuu
Evelyn Salt said: Ukipata nijulishe na mie, napenda sana mapishi, hata ikiwa sehemu ya kulipia sawa.... Nadhani wapemba ni wapishi wazuri Nifah idara hii haupo? Click to expand... usijari mkuu