ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Mkuu mi nataka kujua general au hata kama nitapata mtu au sehemu yakujifunza ambayo watanifundisha kwa mapishi maalumu tu pia Niko tayarUlitaka kujua mapishi gani mkuu au general
Mkuu nimejitahidi kutumia you tube lakini matokeo ya upishi wangu hayaji vizuriUkitaka ata namna ya upishi wa maji utaupata . . .tumia YouTube kuna mafunzo mengi ya upishi
Bando lako tu
mkuu ustadhijuma nielekeze kwako nije nikuelekezeMkuu nimejitahidi kutumia you tube lakini matokeo ya upishi wangu hayaji vizuri
Haha hapa hapa jf kuna mapis mengi sana we soma thread zote za mapishi utaelewawapishi gani nyinyi hamtaki hata kufundisha wenzenu uchoyo tu umewazidi
kwnza upishi ni kuweza kusoma na kuandika,pili kujua ingredients,kwa kuziona na matumizi yake,tatu kufuata vipimo na maelekezo yaliyowekwa,mwisho upishi ni sawa na kusema chakula,kuna muhogo,kuna brioche,kuna paella,kuna saltimbocca,kuwa pirozkhi,kuna makande,kuna marinara,kuna rissoto kuna pilau and many more,upishi una makundi,pastry,gardmange,entremetier,saucier,butcher,breakfast ,pia upishi una utaifa,unataka upishi wa taifa lipi?unataka kwa matumizi yako nyumbani au kwa kuajiriwa?me naweza kukufundisha am a chef tena bureee!kama una mdogo wako wa kike ntaoa mke wa pili tu inatosha!salamu kwenu ndugu zangu wana jf!!
naomba kujuzwa sehemu ambazo naweza kujifunza mapishi bure au kwa gharama nafuu au kama kuna mtu yuko ready kujitolea nitashukuru sana na nitamuombea duaa!!
napenda sana kujua kupika
Mkuu sasa hivi kila kitu ni pesa naomba unifundishe kwa kuajiriwa ili hata siku likitokea lakutokea chuoni nakimbilia kuajiriwa kama mpishi pia nikijua mapishi yakuajiriwa nadhani hata ya nyumbani hayatanishindakwnza upishi ni kuweza kusoma na kuandika,pili kujua ingredients,kwa kuziona na matumizi yake,tatu kufuata vipimo na maelekezo yaliyowekwa,mwisho upishi ni sawa na kusema chakula,kuna muhogo,kuna brioche,kuna paella,kuna saltimbocca,kuwa pirozkhi,kuna makande,kuna marinara,kuna rissoto kuna pilau and many more,upishi una makundi,pastry,gardmange,entremetier,saucier,butcher,breakfast ,pia upishi una utaifa,unataka upishi wa taifa lipi?unataka kwa matumizi yako nyumbani au kwa kuajiriwa?me naweza kukufundisha am a chef tena bureee!kama una mdogo wako wa kike ntaoa mke wa pili tu inatosha!
salamu kwenu ndugu zangu wana jf!!
naomba kujuzwa sehemu ambazo naweza kujifunza mapishi bure au kwa gharama nafuu au kama kuna mtu yuko ready kujitolea nitashukuru sana na nitamuombea duaa!!
napenda sana kujua kupika
Acha uongo kuhusu mapishi,nani kakuambia wahindi wana mapishi mazuri?au unaona yale marangi yanakuchanganya?wapishi wazuri ni wafaransa ndio waanzilishi,then kuna waaustralia na hata wa sauz wanajitahidi sana wanachanganya modern na local cuisine!Unapenda mapishi ya aina gani wapishi wazuri ni hahindi na wazenj maana vya kula vyao vinafanana
nimekujibu kwa PM Mkuu!! Tafadhali soma PM yangu nimeandika location yangu Mkuu!!uko wapi?ili nkutaftie sehemu uwe unafundishwa hotelini kabisa unaona vitu practically!