Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Asante mkuuNenda Mwenge Kuna Kituo Cha Daladala
Panda Daladala Kwenda Bunju Ongea Na Konda Utaachwa Kwenye Eneo Unapokwenda
Fika kituo cha daladala cha makumbusho,makumbusho muulize konda wa dala dala yoyote akuoneshe magari ya mbweni.Utapanda gari za makumbusho-mbweni.Gari hizo zitakufikisha hadi mbweni.Naomba kujua nikitaka kufika mbeni beach ,kanisa la SDA , nafikaje, nikiwa natokea ubungo, napanda magari ya wapi ?
Naomba kwa wanaojua wanisaidie kunifahamisha...
Nenda Mwenge Kuna Kituo Cha Daladala
Panda Daladala Kwenda Bunju Ongea Na Konda Utaachwa Kwenye Eneo Unapokwenda
Akiwa Hapo Anapata Yanayotoka Huko HukoMwenge hakuna gari za Mbweni,aende Makumbusho
Asante mkuu, vip mawasiliano hakuna gari za hadi mbweniFika kituo cha daladala cha makumbusho,makumbusho muulize konda wa dala dala yoyote akuoneshe magari ya mbweni.Utapanda gari za makumbusho-mbweni.Gari hizo zitakufikisha hadi mbweni.
Akiwa Hapo Anapata Yanayotoka Huko Huko
Makumbusho
Sawa Sawa Kwa Pale AtasimamaAtasimama hadi Mbweni.Muhimu akaanzia yanapoanzia safari magari ya mbweni,ambako ni makumbusho.
Hapo Utapata Ya Tegeta Zaidi YatakayokufanyaAsante mkuu, vip mawasiliano hakuna gari za hadi mbweni
Nashukuru sana kesho nitaanza safar hadi makumbusho, then niunge hadi mbweniHapo Utapata Ya Tegeta Zaidi Yatakayokufanya
Ukaunge Tegeta Jingine Kwenda Bagamoyo Ama Bunju
Utafika Muhimu Wadau Wamekulekeza Makumbusho Ndiyo Mwanzo Wa Daladala Upate KitiNashukuru sana kesho nitaanza safar hadi makumbusho, then niunge hadi mbweni
Hahahahha mzee baba umepatikana ..kumbe ulipotea njia ya kwenda kanisani hahahahahaNaomba kujua nikitaka kufika mbeni beach ,kanisa la SDA , nafikaje, nikiwa natokea ubungo, napanda magari ya wapi ?
Naomba kwa wanaojua wanisaidie kunifahamisha...
Unapanda magari yoteNaomba kujua nikitaka kufika mbeni beach ,kanisa la SDA , nafikaje, nikiwa natokea ubungo, napanda magari ya wapi ?
Naomba kwa wanaojua wanisaidie kunifahamisha...
sasa bunju akafuate nini wakati anaenda mbweni???? anatakiwa kwenda makumbusho apande gari za mbweni moja kwa moja, au hapo mwenge apande gari za makumbusho - mweni....Nenda Mwenge Kuna Kituo Cha Daladala
Panda Daladala Kwenda Bunju Ongea Na Konda Utaachwa Kwenye Eneo Unapokwenda