Be specific! biashara ndani ya nchi au nje? Kama unanunua ndani unanunua kwa jola ambalo lina pic 3 yaan doti 3 unakuwa selective kuchagua matoleo mapya na mazuri yanayop3ndwa hata ya zamani... ila kama nje ya nchi specify wapi unaweza fika kongo, au burundi au ukachukulie kigoma!