Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu jeshi la zimamoto

man of sun

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
331
460
1.naomba kufahamu kuhusu mishahara ya jeshi la zima moto

2.naomba kufahamu baada ya kuhitimu mafunzo ya jeshi la zimamoto wanakuruhusu baada ya miaka mingapi ukasome Tena
 
1.naomba kufahamu kuhusu mishahara ya jeshi la zima moto

2.naomba kufahamu baada ya kuhitimu mafunzo ya jeshi la zimamoto wanakuruhusu baada ya miaka mingapi ukasome Tena
Daaa Subiri waje wenyewe......najua vyeo ni sawa policcm sasa mshiko ndio sijajua.....tutajifunza sote
 
Back
Top Bottom