U Under 20 wa kudumu New Member Joined Aug 23, 2021 Posts 2 Reaction score 0 Apr 23, 2025 #1 Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye malengo ya kujifunza ufundi wa simu sasa naomba ushauri kipi nianze kati ya kuanza kujifunza kwa fundi wa mtaani kisha niend veta au niende veta af nirudi kwa fundi mtaani kwa uzoefu zaidi?
Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye malengo ya kujifunza ufundi wa simu sasa naomba ushauri kipi nianze kati ya kuanza kujifunza kwa fundi wa mtaani kisha niend veta au niende veta af nirudi kwa fundi mtaani kwa uzoefu zaidi?
U Under 20 wa kudumu New Member Joined Aug 23, 2021 Posts 2 Reaction score 0 Apr 24, 2025 Thread starter #2 Wadau naombeni msaada mwenye ufahamu anipe ushauri
McMahoon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 1,360 Reaction score 1,645 May 19, 2025 #3 Pakua sasa kitabu cha ufundi simu software Kwa kutumia kitabu hiki, utaweza Kuflash simu na tablet aina zote kama Nokia, Samsung, iPhone, Itel, Tecno, Infinix, Nexus, HTC, Google Pixel, LG, Xiaomi, Blackberry n.k Utaweza kurepair IMEI Remove Network Lock Backup firmware Kutoa Password, PIN, Pattern, Face Lock na Finger Print Kubypass Google Account Verification (FRP) Kujua boot key, boot select, fastboot mode, EDL Mode, Diag Mode, Test Point n.k Kuunlock Bootloader Rooting Kuupdate simu yako kutoka android version moja kwenda nyingine Remove MI Account na mambo mengi yanayohusiana na ufundi simu software Baada ya kusoma na kuelewa utaweza kurepair simu yoyote za smartphone, tablet na simu za batani Jifunze Ufundi Simu Software ~ Kitabu Kutokana na watu wengi kutaka kujifunza ufundi simu software, nimeandika kitabu ambacho kitakusaidia kujifunza ufundi simu wa software mwen... fahusvera.blogspot.com
Pakua sasa kitabu cha ufundi simu software Kwa kutumia kitabu hiki, utaweza Kuflash simu na tablet aina zote kama Nokia, Samsung, iPhone, Itel, Tecno, Infinix, Nexus, HTC, Google Pixel, LG, Xiaomi, Blackberry n.k Utaweza kurepair IMEI Remove Network Lock Backup firmware Kutoa Password, PIN, Pattern, Face Lock na Finger Print Kubypass Google Account Verification (FRP) Kujua boot key, boot select, fastboot mode, EDL Mode, Diag Mode, Test Point n.k Kuunlock Bootloader Rooting Kuupdate simu yako kutoka android version moja kwenda nyingine Remove MI Account na mambo mengi yanayohusiana na ufundi simu software Baada ya kusoma na kuelewa utaweza kurepair simu yoyote za smartphone, tablet na simu za batani Jifunze Ufundi Simu Software ~ Kitabu Kutokana na watu wengi kutaka kujifunza ufundi simu software, nimeandika kitabu ambacho kitakusaidia kujifunza ufundi simu wa software mwen... fahusvera.blogspot.com
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,045 Reaction score 3,865 May 5, 2026 #4 🤝