Hi BVR imenifanya nicheke sana.Kuna dem mmoja hapa jirani ameenda Arusha kufanya hiyo kitu.Sasa alivyo zuzu baada ya Baba yake kumpa nauli akaenda kununua ticket ya ndege to and fro.Sasa nikajiuliza kwa nini hakwenda na basi ili abane matumizi vizuri? Yaani niruke from Dar to A town via fastjet kufuata 20000 per day? Si nafuu niende na kilimanjaro express? .Kweli kazi ipo kwa hawa madadaz!