Nimeanzisha bakery yangu na niko kwenye process ya kuiboresha. Mojawapo ya kitu ninachotaka kukifanya ni kushapisha mifuko ya mikate. Wapi naweza kuchapia mifuko ya mikate kwa bei nafuu?
Unauzia kwenye bakery yako au unasambaza? Kama ni kwako huna haja kuchapisha mifuko..Kama bidhaa zako ni bora wewe weka kwenye mifuko safi ya plastic... ladha itafanya watu warudi tena na tena.Kama unasambaza basi kweli utahitaji hiyo mifuko iwe na brand yako.

Ushauri mmoja kaka, nadhani cost inatakuwa cheap mara zaidi ya 30% kama utachapia nje ya nchi especial China. Unachotakiwa ni kuwapata watu wa Graphics design wadraft muonekano then makampuni yapo mengi tuu ambayo yata deliver CIF Dar, au air.