Ameli Mligo
Member
- Apr 18, 2018
- 28
- 16
Kwa hiyo power tiller mpaka sasa bado hujapata? na kama umepata ni njia gani uliyotumia kupata power tiller?Mimi nilitaka kuagiza ambazo ni used nimepata shida kupata kutoka Japan.nikatumia mtanzania ambae ameenda Japan akasema kwa Sasa Japan makampuni mengi yanayohusika na agricultural tools wanafanyia kazi nyumbani.na mitandao mingi na Japan mpaka beforward wameacha kuadvertise power tiller wanaweka tractor.kwanza zilikosa soko pili wachina hapo kati walikuja na power tiller zao mpya za bei rahisi.
Hivi hizi wanazouza hapa bongo za kubota original japan wanaimport kutoka nchi ganiMimi nilitaka kuagiza ambazo ni used nimepata shida kupata kutoka Japan.nikatumia mtanzania ambae ameenda Japan akasema kwa Sasa Japan makampuni mengi yanayohusika na agricultural tools wanafanyia kazi nyumbani.na mitandao mingi na Japan mpaka beforward wameacha kuadvertise power tiller wanaweka tractor.kwanza zilikosa soko pili wachina hapo kati walikuja na power tiller zao mpya za bei rahisi.
Sijajua mana Kuna Kubota inatoka Japan,Thailand na JapanHivi hizi wanazouza hapa bongo za kubota original japan wanaimport kutoka nchi gani
Sijajua mana Kuna Kubota inatoka Japan,Thailand na Japan
Kampuni ni ile ile japo wana assembling plants nchi tofauti tofauti.Sijajua mana Kuna Kubota inatoka Japan,Thailand na Japan
Oooooo nimekupata mkuu.Kampuni ni ile ile japo wana assembling plants nchi tofauti tofauti.