Habari zenu wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji korosho zilizobanguliwa tani moja, hata zikiwa mchanagnyiko wa rangi yaani nyeupe na kahawia sawa ziwe gredi one kwani nitasafirisha nje ya nchi. mwenye nazo au atakayeweza saidia kupata tafadhali nijulishe nikutafute, nipo Dar.